Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

3 posters

    Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

    Chuga
    Chuga
    New Member
    New Member

    Anthony Martial amegoma kusaini mkataba  mpya ma utd inazidi kupukutika Empty Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

    Post by Chuga Wed Apr 11, 2018 4:39 am

    Mshambuliaji wa Man United ya England Anthony Martial anayewindwa na vilabu vya FC Bayern Munich ya Ujerumani na Juventus ya Italia leo ameripotiwa kugoma kuongeza mkataba na Man United.

    Anthony Martial ameripotiwa kugoma kusaini mkataba mpya wa miaka mitano wa kuendelea kuitumikia Man United kwa madai ya kukosa nafasi ya kucheza, hivyo ameshinikiza auzwe ili akapate nafasi ya kucheza.
    Maamuzi hayo ya Martial yamezidisha kasi na matumaini kwa vilabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, Inter Milan na Juventus za Italia ambazo zina lengo la dhati la kuhitaji huduma ya nyota huyo anayekosa namba Man United.
    Anthony Martial amegoma kusaini mkataba  mpya ma utd inazidi kupukutika Screen10
    Kun
    Kun"
    Junior Member

    Anthony Martial amegoma kusaini mkataba  mpya ma utd inazidi kupukutika Empty Re: Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

    Post by Kun" Wed Apr 11, 2018 10:20 am

    nafikiri ni baada ya kuona timu haina uelekeo, timu inashangilia kuifunga man city badala ya kushangilia ubingwa?
    Cena
    Cena
    New Member
    New Member

    Anthony Martial amegoma kusaini mkataba  mpya ma utd inazidi kupukutika Empty Re: Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

    Post by Cena Fri Apr 20, 2018 1:48 am

    kwaiyo kuondokakwamartial ndio man utd ipukutike?

    Sponsored content

    Anthony Martial amegoma kusaini mkataba  mpya ma utd inazidi kupukutika Empty Re: Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

    Post by Sponsored content

      Current date/time is Sat May 11, 2024 8:11 pm