Hatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto kuliko man u wachezaji wanaendelea kuitosa man u na kuja Liverpool
Habari kutoka ndani ya Liverpool ni kuwa mchezaji tegemeo wa Manchester united Fellain amekataa kuongeza mkataba mpya na Manchester united licha ya kubembelezwa Sana mourinho amechagua kujiunga na Liverpool
Karibu Sana magettoni Anfeld Mkubwa fellain japo sikukubali Ila kwasababu jicho la klop halikosei katika usajili ngoja tusubiri.
Kumbuka hata Mane na firmino waliwahi kutakiwa na Manchester united wakaitosa man u na kuja NYUMBA ya UEFA magettoni Anfeld