Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

2 posters

    BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI

    Roy
    Roy
    Founder

    BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI Empty BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI

    Post by Roy Thu Apr 12, 2018 4:47 pm

    Kipa mkongwe nchini Italia, Gianluigi Buffon ameamsha mashambulizi dhidi ya mwamuzi Michael Oliver kwa kumuita muuaji.

    Kama haitoshi, Buffon amesema mwamuzi huyo hana moyo katika kifua chake.

    Mara baada ya Juventus kurejea kwa Italia, Buffon amesema Oliver kutoka Uingereza ameipendelea waziwazi Real Madrid kwa kuipa mkwaju wa penalti ambao hawakustahili.

    Juventus iliitwanga Madrid kwa mabao 3-1 kwao Santiago Bernabeu lakini ikang’oka katika hatua hiyo ya robo fainali kutokana na bao la mkwaju wa penalti waliopata Madrid katika dakika za nyongeza.

    Mwamuzi alipuliza filimbi kuashiria faulo baada ya Lucas Vazquez kuamgushwa katika dakika ya 90+3.

    Baada ya maneno makali, Buffon alitolewa nje kwa kadi nyekundu jambo ambalo lilizidisha hasira za mashabiki wa Juventus na wale wasioiunga mkono Madrid.
    Anonymous
    alli
    Guest

    BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI Empty Re: BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI

    Post by alli Fri Apr 13, 2018 6:21 pm

    buffon hana bahati bora astafu tu soka
    Roy
    Roy
    Founder

    BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI Empty Re: BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI

    Post by Roy Fri Apr 13, 2018 8:18 pm

    alli wrote:buffon hana bahati bora astafu tu soka

    mwenye bahgati ni nani?
    Payet
    Payet
    Junior Member

    BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI Empty Re: BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI

    Post by Payet Fri Apr 13, 2018 8:23 pm

    Refaree alizingua sana

    Sponsored content

    BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI Empty Re: BUFFON AMCHARUKIA MWAMUZI MWINGEREZA, ASEMA HANA MOYO KIFUANI, AMFANANISHA NA MUUAJI

    Post by Sponsored content

      Current date/time is Sun May 12, 2024 6:44 am