Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

WASAFI TV/RADIO: Kwa kila faida ya Bilioni 10, Diamond atalamba Bilioni 2

WASAFI TV/RADIO: Kwa kila faida ya Bilioni 10, Diamond atalamba Bilioni 2 Empty WASAFI TV/RADIO: Kwa kila faida ya Bilioni 10, Diamond atalamba Bilioni 2

Post by shaaban robert on Tue Apr 10, 2018 12:56 pm

Taarifa za chini chini kutoka kwa mchunguzi konyo mange kimambi inasemekana Diamond platnumz anamiliki asilimia 20 ya wasafi TV na radio...Mara ya kwanza watu walivyodhani hii TV na radio inamilikiwa na Wcb tu ilikuwa ni dhahiri hiki kituo tarajiwa kisingeweza kushindana na clouds na kingekua kinapata mapato machache.....

Kitu kizuri ni kwamba hii wasafi TV na radio kuna mkono wa Joseph kusaga ambaye ataiboost kweli kweli hiki kituo na haitakua jambo la kushangaza kituo hiki kikiingiza takribani bilioni 10 baada ya makato na ushuru wa aina yoyote...hii ni kwamba kwa vile D anamiliki asilimia 20 basi bilioni mbili ni halali yake kabisa....

Huyu kijana anazidi kufanikiwa na kuwapa hamasa ya maendeleo vijana wenzake...Msanii anaweza kuwa an hit kinoma Leo lakini hakuna anaeweza Ku hit muda wake wote na inabidi kuwe na biashara Ama uwekezaji nje na muziki ili muziki ukimtupa asiwe omba omba.

BIG UP DIAMOND PLATNUMZ cheers
  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:27 pm