Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Uwoya achora Tattoo ya Dogo Janja, kweli amekiufa ameoza

Share
avatar
Naija
New Member
New Member

Uwoya achora Tattoo ya Dogo Janja, kweli amekiufa ameoza

Post by Naija on Thu Apr 12, 2018 11:03 am

Ndoa ya muigizaji, Irene Uwoya na Mbongo Fleva, Dogo Janja, inazidi kustawi kutokana na wawili hao kuendelea kuonyeshana mahaba kila kukicha mitandaoni, ambapo muigizaji huyo sasa ameamua kuchora Tattoo yenye jina halisi la mumewe ‘Abdul’.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dogo Janja, amepost picha ya mkewe inayoonyesha Tattoo hiyo na kumuandikia maneno yafuatayo.

“Ahsante Mke Wangu, Nichore Na kule Ninapopaonaga mimi tu”

avatar
selin
Guest

Re: Uwoya achora Tattoo ya Dogo Janja, kweli amekiufa ameoza

Post by selin on Thu Apr 12, 2018 11:48 am

hayo ni maigizo tu wataachana tu ni swala la muda
avatar
selin
Guest

Re: Uwoya achora Tattoo ya Dogo Janja, kweli amekiufa ameoza

Post by selin on Thu Apr 12, 2018 11:49 am

hayo ni maigizo tu wataachana tu ni swala la muda
avatar
moyo
New Member
New Member

Re: Uwoya achora Tattoo ya Dogo Janja, kweli amekiufa ameoza

Post by moyo on Thu Apr 12, 2018 12:58 pm

selin wrote:hayo ni maigizo tu wataachana tu ni swala la muda
Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing

Re: Uwoya achora Tattoo ya Dogo Janja, kweli amekiufa ameoza

Post by Roy on Thu Apr 12, 2018 5:32 pm

sawa

Re: Uwoya achora Tattoo ya Dogo Janja, kweli amekiufa ameoza

Post by Roy on Thu Apr 12, 2018 5:32 pm

sawa

Sponsored content

Re: Uwoya achora Tattoo ya Dogo Janja, kweli amekiufa ameoza

Post by Sponsored content

    Current date/time is Wed Dec 19, 2018 4:42 am