baada ya kurejista akaunti na kuwa memba wa Sokasport utahitaji kuweka picha yako iwe kama profili picture>
Ni rahisi sana,
Bofya kenye profile yako (kwenye column ya juu bonyeza profile)
kisha baada ya kufunguka bonyeza sehemu iliyoandikwa Avatar hapo utaona sehemu iliyoandikwa upload avatar click hapo na ukiisha upload shuka sehemu iliyoandikwa save
tayari utakua umekamilisha kuweka picha yako
in summary
click Profile>>>>>> Avatar>>>>>>>> Upload avatar>>>>>>> Save