Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop sasa anafanya mambo ya kipuuzi

Share
ramsey
ramsey
Junior Member

Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop sasa anafanya mambo ya kipuuzi

Post by ramsey on Mon Apr 09, 2018 4:31 pm

Msanii Niki mbishi kutoka tamaduni music ameacha hiphop na
Sasa anafanya bongo flava , Niki huwa anachukuliwa kama mmoja ya wasanii wakali kabisa wa Hip Hop barani Afrika lakini unfortunately amesaliti harakati na kuanza kuimba mambo ya kipuuzi ambapo inaaminika Msanii akiimba vitu vya kipuuzi ndo anapata mafanikio

Anonymous
FADHILI
Guest

Re: Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop sasa anafanya mambo ya kipuuzi

Post by FADHILI on Mon Apr 09, 2018 4:34 pm

Muziki ni pesa sasa wewe kama haoni faida lazima abadilkishe game, kwa hapa Tanzania mashabiki wengi hupenda miziki ya kijinga ya akina Ney wa mitego but miziki serious watu hawaithamini sana
dembele
dembele
Junior Member

Re: Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop sasa anafanya mambo ya kipuuzi

Post by dembele on Tue Apr 10, 2018 12:10 pm

FADHILI wrote:Muziki ni pesa sasa wewe kama haoni faida lazima abadilkishe game, kwa hapa Tanzania mashabiki wengi hupenda miziki ya kijinga ya akina Ney wa mitego but miziki serious watu hawaithamini sana

muziki wa kijinga ni upi? je unaelewa maana ya fasihi?

Sponsored content

Re: Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop sasa anafanya mambo ya kipuuzi

Post by Sponsored content


    Current date/time is Fri Feb 22, 2019 5:34 pm