Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Champions League and europa semifinal draw:

Share
CR7
CR7
Junior Member

Champions League and europa semifinal draw:

Post by CR7 on Fri Apr 13, 2018 3:56 pm

Matokeo ya droo ya nusu fainali ya Europa ligi

  • Marseille(Ufaransa) Vs Salzburg(Austria)

  • Arsenal(Uingereza) Vs Atlético de Madrid(Uhispania)

UEFA CHAMPION LEAGUE
Matokeo ya droo ya nusu fainali ya UEFA ligi

  • Bayern Munich(Ujerumani) Vs Real Madrid(Uhispani)

  • Liverpool(Uingereza) Vs S Roma(Italia)

Good bye Arsenal Good bye Bayern 

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by Roy on Fri Apr 13, 2018 4:26 pm

hatimaye liva anaingia final kimasihara tu yan
Payet
Payet
Junior Member

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by Payet on Fri Apr 13, 2018 8:24 pm

@Roy wrote:hatimaye liva anaingia final kimasihara tu yan
apitie wapi kwenda fainali? Muulize barca kilichomkuta
mikael
mikael
Junior Member

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by mikael on Sat Apr 14, 2018 4:42 pm

kwa mbali naona maajabu ya liva kuchukua ndoo

mark my words..

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by Mkweli daima on Sun Apr 15, 2018 4:33 pm

@mikael wrote:kwa mbali naona maajabu ya liva kuchukua ndoo

mark my words..
yaa liva akipita kwa roma basi asilimia kubwa ya kuchukua ipo
depay
depay
New Member
New Member

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by depay on Sun Apr 15, 2018 5:15 pm

@Roy wrote:hatimaye liva anaingia final kimasihara tu yan

Sio rahisi kama mnavyofikiri

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by P. Dybala on Thu Apr 19, 2018 12:33 pm

@Mkweli daima wrote:yaa liva akipita kwa roma basi asilimia kubwa ya kuchukua ipo
Umewaza kama mimi mdau
King
King
Junior Member

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by King on Thu Apr 19, 2018 1:13 pm

Ilinichukua muda kuamini kama kweli Barca katoka Buana, ila poa tu sasahivi naisaport Liverpool cheers cheers
Hamiliton
Hamiliton
Junior Member

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by Hamiliton on Thu Apr 19, 2018 1:37 pm

Bayern ashachukua
Payet
Payet
Junior Member

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by Payet on Thu Apr 19, 2018 1:56 pm

@King wrote:Ilinichukua muda kuamini kama kweli Barca katoka Buana, ila poa tu sasahivi naisaport Liverpool cheers cheers
Tuko pamoja mdau liva awamu hii itajizolea mashabiki

Sponsored content

Re: Champions League and europa semifinal draw:

Post by Sponsored content

    Current date/time is Fri Feb 22, 2019 5:40 pm