Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa

Jogoo
Jogoo
New Member
New Member

Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa Empty Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa

Post by Jogoo on Thu Apr 12, 2018 1:14 pm

BAADA ya kufanikiwa kuwafunga Mtibwa Sugar, kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya ameweka wazi kuwa kwa sasa hakuna timu itakayowazuia kuchukua ubingwa wa msimu huu kwa kuwa mechi hiyo haikuwa ya kawaida.

Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa katika mchezo uliopigwa juzi Jumatatu kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Ushindi huo umepelekea Simba kuende­lea kuongoza ligi kwa pointi 52, nyuma ya Yanga yenye pointi 46.

Akizungumza na Championi Jumatano, Kichuya alisema kuwa kwa sasa haoni timu ambayo inaweza kuwazuia kuchukua ubingwa baada ya kufanikiwa kuifunga Mtibwa.

“Binafsi kwangu ni jambo la furaha kufanikiwa kushinda dhidi ya Mtibwa kwa sababu hii mechi haikuwa rahisi kwetu na tulikuwa tunahitaji matokeo mazuri ili kufikia malengo.

“Kiukweli Mtibwa wamecheza vizuri na mchezo ulikuwa mgu­mu lakini kwa matokeo haya sioni timu ambayo itaweza kutuzua kuchukua ubingwa wa msimu kwa sababu tunapam­bana bila ya kuangalia nyuma anakuja nani,” alisema Kichuya.
dUMA
dUMA
Junior Member

Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa Empty Re: Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa

Post by dUMA on Fri Apr 13, 2018 12:41 pm

sawa
CR7
CR7
Junior Member

Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa Empty Re: Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa

Post by CR7 on Fri Apr 13, 2018 3:57 pm

hilo halina ubishi
CR7
CR7
Junior Member

Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa Empty Re: Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa

Post by CR7 on Fri Apr 13, 2018 4:00 pm

ni sahihi
xavi
xavi
New Member
New Member

Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa Empty Re: Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa

Post by xavi on Fri Apr 20, 2018 1:36 am

Simba hata hivyo wanaukame sana ni halali yao watambe kwa maneno

Sponsored content

Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa Empty Re: Kichuya aweka wazi hakuna timu itakayowazuia kuchukua Ubingwa

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:35 pm